Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli mkuu kwa sasa kuna uhaba sana wa makocha wazuri. Arteta hadi sasa kwa ligi alipoanzia sio mbaya ni mzuri
Arteta bonge moja la kocha.
20260213_125214.jpg
 
Leo saa Tano kamili usiku, saa za Afrika Mashariki, we go again vs Wolves.
 
Tunarudi leo tena kwa Wolves.

Naona Arteta ameamua kuadopt kwa kubadili formation na kucheza 4 2 3 1

But hii 2 angemuweka Eze. Jamaa anatoa pasi nzuri akiwa mbali na forwards na inamsaidia hazunguki sana kukimbia kukaba

Ngoja tuona hii second leg itakuaje
 
Back
Top Bottom