Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Si tumekubaliana na castr kama katibu wa ma false hopers kuwa saivi mnagawa energy drink kwa mwizi saivi ama?Angalia hizi game Manchester city atakavyozucheza hadi anakuwa bingwa. Arsenal sahizi badala waamke wapambane sababu ligi ndo inaelekea mwishoni, timu ikidondosha points ndo basi hamna tena marudiano. Arsenal ndo kwanza anazidi kujirudisha nyuma. Anapiga hatua 5 mbele, anarudi hatua nyuma...hivyohivyo hadi ManCity atamkuta na kumuacha. Arsenal hapotezagi sana mechi kwa kufungwa ila yye anakosaga kombekwa sare nyingi😅😅😅
Man city now wapo kusaka ubingwa as fans and players lakini arsenal fans wao wapo kwenye kugawa energy drinks 😂😂.
Mkorea ongeza energy drinks 2 tafadhali