zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,177
- 39,626
Fabregas ni mzuri zaidi ya Arteta!! tunahitaji kocha "katili" kama Simeone hivi mwenye mentality ngumu sio huyu ambaye akiwa under pressure anapanic.Arteta akivumiliwa na mwaka huu tutashangaa ila shida pia makocha wazuri nao sokoni ni mtihani si unaona Man u na Chelsea wanavyohaha kufukuza na kuleta makocha wapya. Arteta ni anavumiliwa sababu ndo kwanza anaanza kuinoa timu ya kwanza akiwa kama kocha mkuu na anaonesha kitu kwamba huko mbeleni atakuwa tishio acha aendelee kujifunzia Arsenal ili baadae akikomaa Barca au Madrid wamchukue😄😄