Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Amazing link up
FB_IMG_17704944840104664.jpg
 
Wayback nilisema Kai works better kama SS, same na Timo Werner naye utaona akiwa mzuri formation ikimuinclude na SS.

Tangu Kai afike na kucheza nyuma ya Gyokeres inaonekana kama vile Kai anamuelewa Gyokeres kuliko watu wote.
 
Norgaard alikua kapteni na starter wa Brentford akiingia kucheza usidhani atakua kiazi kama baadhi ya mashabiki wanavyohofia.

Mechi dhidi ya Kairaty ilisababisha mashabiki waseme bora aanze yeye mechi dhidi ya Leeds Zubimendi apumzike.

He is acrobatic, intelligent na anakaba. Ila sasa huwezi jua kwenye mkataba ameletwa kama nani pengine ni rotation player na yeye aliridhika kwakua ndoto yake ilikua ni kucheza Arsenal.

But Norgaard siyo kiazi kabisa
 
Jana Rice akamkunjia roho Eze kutokana na swala la kukaba, last match Eze alikua hadi anahema kwa mdomo nafikiri Eze kwenye standards za ukabaji bado hayupo vizuri.

Trossard n Saka wapo nje. So eventually tunaweza muona Eze/ Jesus right/ left wing.

Bado games 13. Let's see
 
Match day 3
Liverpool points 9 (1st)
Arsenal points 6 (3rd)

Match day 5
Liverpool points 15 (1st)
Arsenal points 10 (2nd)

Match day 7
Arsenal points 16 (1st)
Liverpool points 15 (2nd)

Match day 25
Arsenal points 56 (1st)
Liverpool points 39 (6th)

Halafu mashabiki wanakuambia tufungwe Arsenal asichukue kombe 😅😅 nimekuta mashabiki wazungu online wanatukana kwanini wengine wanaona ni sawa wagombee kwenda conference league?

Kwanini Liverpool hawaitwi bottlers ingawa walianza ligi kwa hiyo pace?

Kwanini Chelsea hawaitwi bottlers kutokana na performance ya msimu uliopita?

Hizi sasa ndiyo narratives unazotakiwa kua aware nazo zisikutoe kwenye reli
 
13 games, 6 home na 7 away!!
Hizo away games washinde walau tatu na sare tatu, then capitalise on home games zipatikane 18 points.

Is it possible ?
 
Jana Rice akamkunjia roho Eze kutokana na swala la kukaba, last match Eze alikua hadi anahema kwa mdomo nafikiri Eze kwenye standards za ukabaji bado hayupo vizuri.

Trossard n Saka wapo nje. So eventually tunaweza muona Eze/ Jesus right/ left wing.

Bado games 13. Let's see
Ndio faida ya kuwa na wachezaji Versatile.. kuna namna msimu huu majeruhi hayajatupasua saana kichwa kama misimu kadhaa nyuma, KAI amekaa nje, kina saliba na malghales nao kwa wakati wao, jesus nae kama kawaida,calafiori, saka ndio huyo lakini mambo yanasonga kwa kupokezana
 
🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
 
Attachments

  • 1714807120146.jpg
    1714807120146.jpg
    163.4 KB · Views: 13
🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
Mkuu naona mpo kwny mbio za ubingwa🤠🤠🤠....haya machachari yenu wiki mbili zijazo Kuna jambo litawakuta tu....bdo bwana Kariki wapinzani wanamsoma
 
🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
hamis77 Rudi kundini Wana wamekumiss eti😅
 
🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
Mbona yupo hapa kwa User name nyingine, chunguza mwenye kamdomo kareeeeefu. Ni yeye kabisa.
 
Kenge Labyrinth 84 yupo kimya huwezi kumuona humu kwa sababu tumeshinda na Nyukesto yake imekandwa huko.

Anasubiri tufungwe kisha aje na paragraph zake zizizo na mashiko.
Na nilimwambia huu msimu atatetesaka Sana.
Niongee nini sasa? Muda wenu huu wakutamba false hopers lazima nikose maneno.
Naona leo dua zenu zote zipo kwa liverpool, akishinda tuu mpaka hamis atarudi sijui kwa id ipi jackwillpower ,aron arsenal au zote kwa pamoja. Hapo vipigo ndo vitaanza rasmi.

Computerarsenal muda mrefu sijamuona humu . Dua zote kwa man city maana tutawaeleza nini hawa false hopers wakiwa points 9 ahead watuelewe.
 
Uzuri wa timu kupambania ushindi bila kutegemea wengine wateleze ni haikusumbui kwenye matokeo yao.

Chelsea na United kushinda imefanya mashabiki waone jinsi gani hali ipo complicated kuliko kujaza servers za X na JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom