Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki msichokijua ni kuwa Stan Kroenke ana kipengele katika mkataba wake na muuzaji wa klabu kuwa ikitokea arsenal anachukua ubingwa wa EPL au UCL, basi atalipa mabilioni ya pesa kwa muuzaji.
You know what I mean, don't you?
 
Arteta ni galasa, jana eze na gyokeres wali kuwepo akaona aanze na mgese mwenIe
game ya jana ilikuwa ya kuanza na merino/eze kwenye 10, then mbele gyokeres, sub ya trossard ni martinelli kama kwaida tena kwa game ya jana ilimfaa martinelli second half game za fujo fujo ndo zake, man u wancheza kwa fujo hawana formula wanakuja tu hawana cha kupoteza.
 
Siku moja kabla ya game nilisema kabisa nina uhakika man utd hatafungwa na false hopers na nikasema tena kitakachotokea kwa arsenal players ni kutetemeka ovyo ndicho kilichotokea vile vile , arsenal anongoza mmoja lakini unaona players kupiga pasi hawawezi wanatetemeka na bado wanaongoza what if man utd ndo angekuwa anaongoza si ndo goli 8 zingejirudia 😆.

Nasema tena huwezi kushinda ligi kwa kumzonga kipa kwenye mipira ya kona ili ufunge.
NARUDIA TENA ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE MSIMU HUU!
 
Arteta ni galasa, jana eze na gyokeres wali kuwepo akaona aanze na mgese mwenIe
Gyokeres hamna player pale kubalini tu mmepigwa .
Maneno kama hayo ungesema mbele ya arteta nadhani mngeshikana mashati yaani arteta as player hapo arsenal hajanyanyua kombe lolote la maana halafu unataka anyanyue as coach si matusi hayo.
Garasa ni team yako miaka 22 bado inatengeneza team.
 
Akili walau ziwarudi.... 3 on target zote kamba

Mbwa kabisa
Castr anakuambia wamejiwekea standard as big team , unamuuliza kinachowafanya nyinyi kuwa big team ni nini?? Anakujibu wana defense nzuri isiyoruhusu shot on targets😂😂.

Sasa unajiuliza na wenye UCL, EPL standard yao ikoje kama kuna team inajisifia kuwa na fews shot on target
 
Huyu khuma anatuzingua, anajiona timu kama ya baba yake, kajihakikishia namba. Kiwango chake kimepungua... awe anacheza eze au merino mpaka akili imkae sawa.
 
Mmh we jamaa ni big critic wa Arsenal, ila uweke akiba ya maneno
 
Yah Smtym Arsenal wanazingua na Kocha wao Arteta lkn tusiache kutunza akina ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…