Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo jamaa huwa anacheza? Ameingilia vipi matokeo ya leo ya Man u kwa mfano?! Vipi matokeo ya kwanza Arsenal aliposhinda dhidi ya Manchester ndani ya OT, vipi huyo Kroenke aliathiri vipi hayo matokeo?Tusaidie mkuu
 
Endelea kushangilia mpira mkuu hadi siku Arsenal itakapokuuwa ndipo ukiwa kaburini utaelewa nilichokiandika!
 
Endelea kushangilia mpira mkuu hadi siku Arsenal itakapokuuwa ndipo ukiwa kaburini utaelewa nilichokiandika!
Tunahitaji perspective yako kwenye hili mkuu, wengi hatuelewi huyo jamaa anachangia vp nyie kutofanikiwa?
 
Wewe tupe matokeo ya Nyukesto na Villa kwanza,unashupaza shingo kwa Arsenal wakati team yako yenyewe ni tia maji
 
Mechi ya Jana sio tittle decider.
We still have 15 more games to go and the good thing is we're still on the top of the table with 4 points.
Mimi nina Imani tutashinda league msimu huu.

Tukutane May.
 
Sasa jana mapema kabisa nikawa booked, nilicheki mechi mpaka half time kisha nikaenda kuhutubia. Kwakua Chelsea na United ni vibonde wetu hata sikutaka kufuatilia mechi.

Kwahiyo baada ya pale nikakuta tumekufa nikaendelea na hotuba kulivyokucha nikakimbilia mihangaikoni.

Kama mnahisi sipo humu kisa matokeo ya jana mnanikosea sana. Na ninarudia tena alifungwa City, Liver (siitaji United coz tumezoea afungwe) ila nzi wote wapo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…