Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,240
- 76,773
Katika mipira ambayo Arsenal inatusumbua ni long balls na counter hii ni kwakua tunamiliki sana mpira hivyo ni rahisi kutukuta tumetawanyika.
United wanacheza long balls na counter. Kutokana na hili natarajia kutakua na moments za kushikilia kende za hapa na pale. Pia they are not good in defense ila wanapenda kufanya swarming.
Na kwakua sisi hatupigi nje ya box timu yoyote inayofanya swarming hua inatusumbua.
So tunatokaje? Gyokeres aanze ili awatrick mabeki kutojua wafocus na nani, Eze/ Odegaard na Rice wawe wanashoot nje ya box. Wings ziwe fasta kufanya maamuzi.
Zubimendi acheze long balls, AM atume through balls.