Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 484
- 1,153
Itakuwa saliba nadhani lakin...Baba mwenye nyumba karudi mzee wa kazi chafu. Si ajabu baada ya hapa tukaanza kuscore conners
Itakuwa saliba nadhani lakin...Baba mwenye nyumba karudi mzee wa kazi chafu. Si ajabu baada ya hapa tukaanza kuscore conners
Roboti Gyokere tutaanza kumdiscus lini? au mikimbio mizuri inatosha?Wolves wanaenda kukutana na kitu cha hatari sana leo
View attachment 3515246
Tukutane baada ya dakika 90Roboti Gyokere tutaanza kumdiscus lini? au mikimbio mizuri inatosha?
Tafuta kazi ufanye mechi inaisha sare hiiWakuu msaada link ku Livestream hii gemu
Ongeza sauti.Baada ya goli wameacha kupaki basi
Umeshindwa kulala kazi kuiwangia Tu Arsenal😏Naona siku za false hopes zimeongezeka wolves alikua anazimaliza leo leo.
False hopers ili mgombanie ubingwa atleast mnahitaji midfielders zenye akili na miguu kama ya trossard na sio wavunja kuni.
Hii Arsenal wala haihitaji kuwangiwa hii ukishafika x mass inaanza kujiwangia automatic. Huwezi kunielewa kwa sasa subiri April au march kidogo ndo huwa mnaanza kupata akili misukuleUmeshindwa kulala kazi kuiwangia Tu Arsenal😏
Mara hii utateseka sana
Newcastle yako inao uwezo wa kututoa pale juu au anabwabwaja tuHii Arsenal wala haihitaji kuwangiwa hii ukishafika x mass inaanza kujiwangia automatic. Huwezi kunielewa kwa sasa subiri April au march kidogo ndo huwa mnaanza kupata akili misukule
Mie nilitizama kipindi kimoja tu nikakosa matumaini..makaveli10 oya walipo funga goli nime tukana bro😂😁
Nilivyo ona wame sawazisha, nika chimba chap. bahati ime rejea.Mie nilitizama kipindi kimoja tu nikakosa matumaini..
Sikuangalia kabisa kipindi cha pili
Mlikuwa mmetuzoea Sana ila nakuhakikishia huu msimu tunachukua point zote 6 kutoka kwenu.Tatu tayari zipo kibindoni.Hii Arsenal wala haihitaji kuwangiwa hii ukishafika x mass inaanza kujiwangia automatic. Huwezi kunielewa kwa sasa subiri April au march kidogo ndo huwa mnaanza kupata akili misukule
Ødegaard kila mpira unaopata anataka ampasie Saka.halaand ana pambaniwa ili apate mpira pale city, sisi arsenal kila mtu ana selfish mode.
Gyokeres ana struggle sana kupata mpira, yaani winga za pembeni hazina maajabu.