Match ya Villa uliangalia kweli mkuu? Villa alipaki bus wapi? Kupaki basi kukoje maana game na villa , villa was far better kwenye kila angle. Villa amewafungua anapiga penetration kali sana ile game na chances kibao walikua wanategeneza malen & watkins waliwaangusha sikuona clear chances yoyote kutoka kwenu against villa.
Arsenal yenyewe team yako ni game gani inacheza mchezo wa kufunguka sikumbuki zaidi ya game na Tottenham, mnacheza mchezo wa kujilinda zaidi mkitegemea setpieces angalia mipira mingi ya arsenal inachezwa pembeni kwa saka na martineli hapa katikati mnawavunja kuni tu hamna wachezaji kama cherki au reijdner .
Mchezaji pekee mwenye IQ ya juu pale arsenal ni trossard, anaweza kutengeneza pass na chance sehemu ngumu , gyokeres alikua anazunguka tu uwanjani lakini alipoingia trossard ndo anapata chance ya kushoot .
Nasemaje mpaka kufika january nyinyi mtakua mshajichokea man city ana kila dalili ya kuongoza kwa game la points 7 au 8 january hii