makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,442
Jana tumefedheheka, huu sio wakati wa kuangusha point.. na game ile ilikuwa ni muhimu kupata point sana, maana mpinzani wetu aliangusha point palepattern ya zubi na odergard haijawahi kufanya kazi, shida arteta ana kaza bichwa Sana.