🤣🤣🤣😂 Mpaka ifike Februari tutarudi kule kule kwenye Arteta Out
Ila mm nilijua tu kwa hawa Villa tunaweza kuacha alama na kweli imetokea 💔Tumenyooshwa.
Yaani ukiwa hujazoea kufungwa unaona haustahili haya matokeo
Kufungwa kupo mkuu 😂.Amka ndotoni
Arsenal timu pekee tulopoteza mechi mbili tu.Ratiba nyepesi sana kwa arteta
Na badooo, kenge nyieSo painful
Huyo Saka aliwahi kufanya kitu gani kikubwa duniani kuhusu football? Mnaokota watoto huko "fom foo" ndio wawape kombe. KENGE nyie.Forwad saka eti akupeni nyie ubingwa hivi mna kichaa?
pattern ya zubi na odergard haijawahi kufanya kazi, shida arteta ana kaza bichwa Sana.Ndio vizuri, akija akaze matako, hakuna mwenye timu yake hapo.. ushindani na upana wa kikosi ni jambo la msingi saana
Ila hii komedi show team 🤣baada ya siku 22 tutakutana nao tena pale emirates na ndio utkw mwisho wa unyonge wetu kwao. COYG🔴⚪️
View attachment 3512513