Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,915
- 75,759
Ukisearch humu utakuta nilishasema.Sawa, baada ya hapo mkapata mafanikio gani?
2021/2022 Baada ya arsenal kumfunga Chelsea nje ndani lakini bado Chelsea akashinda UCL
2025 baada ya arsenal kumfunga Chelsea, lakini bado Chelsea akawa bingwa wa dunia.
Sasa mkuu, em nipeni mafanikio yenu baada ya kumfunga Chelsea.
Na nitarudia leo mara ya mwisho.
Arsenal tunachotaka ni kumfunga Chelsea na Manchester United tu.
Mafanikio ni hayo tu. Hizi bragging rights ndiyo sisi tunazitaka.
Hawa mnaowaita best wakija wakaondoka na ratings za orange ndiyo furaha yetu.