Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwa tunaambiwaga team fulani tishio ila tukiwafunga kauli zinabadilika mara oh bahati mara ooh mbovu kwahiyo hatutaki visingizio baada ya dk 90
Mzee Barca walikua 10.

Arsenal kaifumua Bayern ambayo haijapoteza mechi 17
 
Arsenal wakati tunashinda tano magoli mawili yalitokea upande wa Cucurella. Na moja lilitokea huku anamuangalia anayefunga. Na aliondoka uwanjani akiwa na rating ya 4.8 kati ya 10.

Tunawafunga 1, best save aliyoifanya Sanchez imetokana na pasi kutoka upande wake. Kuna shot moja alipiga hii ikasaidia safari hii aondoke na rating ya 6.6 kati ya 10.

Kwenye suluhu ya moja moja, Arsenal inapata big chances mbili zote zinatokea upande wa Cucurella. Assist ya Odegaard kwa Martinell inatokea mbele ya Cucurella. Kwenye mechi hii anatoka akiwa na rating ya 6.9 kati ya 10.

Hua unakuta mashabiki wanamterm jamaa kama beast mmoja hivi kwamba akiwepo hakuna anayefurukuta. But no, these guys are delusional jana wakawa wanashangilia Chalobah kurudi.

Chalobah, can you imagine?

What's funny? Kwenye mechi zote nilizozisema na Caicedo alikuepo. Kaangalie ratings zake.

As of now hakuna timu inayokutana na Arsenal na idea ya kwanza ni 'Ngoja tuonyeshane quality'
 
Usijifiche kwamba Barca walikuwa 10 kabla ya red card game ilikuwaje?
Kabla ya red card asilimia kubwa chelsea walikuwa wanacontrol mchezo ukijumlisha na yale magoli mawili yaliyokataliwa inaonyesha walikuwa wanashambuliwa jamaa ana husda sijui😂
 
Sisi hatuna kelele wewe wafunge wavimba macho lakini icho kimdomo tutakikata tuu
 
Kabla ya red card asilimia kubwa chelsea walikuwa wanacontrol mchezo ukijumlisha na yale magoli mawili yaliyokataliwa inaonyesha walikuwa wanashambuliwa jamaa ana husda sijui😂
Jamaa analeta ushabiki wakijinga kocha wao mwenyewe wa Barca kakiri alizidiwa
 
Chelsea wasogeza mabango ya matangazo karibu na uwanja ili kuzuia mipira mirefu ya kurusha ya Arsenal


Kwa mujibu wa taarifa kutoka Uingereza, Chelsea wamesogeza mabango ya matangazo karibu zaidi na uwanja ili kupunguza nafasi ya Arsenal kurusha mipira mirefu (long throws) kwenye mechi ya wikiendi hii.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…