Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Kwahiyo na wewe unakubali km Gabriel ni mzigo? Na kuanguka unadhani alifanya makusudi?Haiondoi uhalisia wa alichokisema mdau
Kwahiyo na wewe unakubali km Gabriel ni mzigo? Na kuanguka unadhani alifanya makusudi?Haiondoi uhalisia wa alichokisema mdau
Ni kweli vs City alikutwa out of position.. lakini bado yeye ni binadamu km wewe, ana mazuri mengi ukiondoa makosa machache.Magalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,
Against Man City yeye alikuwa ndio sababu ya goli na leo ndio kaguswa kajiangusha, mchezaji mzuri lakini mzembe kwenye kazi
Hii game mimi nilishaiona kwenye sub nilizokua nazifikiria na kocha kapita mule muleDakika 90 Newcastle tunamkanda
Next 2 games za arsenal ni olympiacos, na west ham.Hii game mimi nilishaiona kwenye sub nilizokua nazifikiria na kocha kapita mule mule
Newcastle waliamua kukaa nyuma, kama unataka ushindi basi lazima mmoja atupishe rice au zubimendi
Watu wa ku-disturb defense line hapo ndio unaona ata downman panapobidi aingie tu
Kipindi cha pili ndio tuliingia kama arsenal
Kabla mwaka haujapinduka tembo wa arsenal atarudi mahala pakeNext 2 games za arsenal ni olympiacos, na west ham.
Liverpool next 2 games ni Galatasaray, Chelsea.
I smell something good hapa.
Kwenye hizi point 15, liver aache 6 tu.Kabla mwaka haujapinduka tembo wa arsenal atarudi mahala pake
Huo uwezekano upoKwenye hizi point 15, liver aache 6 tu.
Trh 4 Chelsea,
Trh 19 man u
Trh 25 Brentford
Trh 1 Aston villa
Trh 4 madrid(uefa )
Trh 9 man city
%suluhu kwa Chelsea, suluhu kwa man u, kipigo kwa city.Huo uwezekano upo%
Leo kaamua kwenda kutafuta magoli, nime penda trosard kaanza maana siyo mchoyo wa pasi.Maana halisi ya kikosi kipana
View attachment 3482033