Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,274
- 101,743
Naunga mkono hoja yako, jamaa ni mbugila sana😂😁.🤣🤣🤣 Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,
Hili jukwaa la michezo hua linatukutanisha na kutuunganisha watu wa jinsia zote, dini zote, vyama vyote na makabila yote na tunajihisi wote ni kitu kimoja.
Ukitaka kuanzisha mambo ya dini au vyama utaliharibu hili jukwaa na kusababisha hata watu wa timu moja wachukiane na waanzishe vita ya wenyewe kwa wenyewe humu.
Kuna majukwaa tofauti tofauti na kila jukwaa lina kazi yake, mtu mwenye busara kila kitu hukiweka mahala pake.
Mpira haujui, dini zenyewe hazijui, ana ruka huku ana kata gogo.