Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,309
wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.Pumbavu ,sijachambua kukufurahisha wewe ,
Kaa mbali na hii akaunt
wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.Pumbavu ,sijachambua kukufurahisha wewe ,
Kaa mbali na hii akaunt
Una chuki na Mimi?😂😂kobazMatako yake..
🤣🤣
Huwez kunipangia kitu kobaz,wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.
mimi sio kobazi wala padre hilo nili weke wazi,ila uki niambia kati ya dini na andazi nita chagua andazi.Huwez kunipangia kitu kobaz,
Kama una chuki na mm kula limao
Ungekuwa max ,ungenipiga ban ya maisha😂😂
Humu naingia jukwaa lolote ,maana hunilipii bando ,shenzi
Wamekuambia ukweli.Una chuki na Mimi?😂😂kobaz
Katika vitu siwezi basi ni KUCHUKIA, siwezi kabisa hifadhi chuki moyoni mwangu..Una chuki na Mimi?😂😂kobaz
Kajamaa ni kaongo kinomaaa.Katika vitu siwezi basi ni KUCHUKIA, siwezi kabisa hifadhi chuki moyoni mwangu..
Huwa nakufurahia tu mwanangu, nakuonaga kama katuni fulani hivi, ama hamnazo kama mwezi mchanga hivi, kuna wakati kaskazi, kuna wakati kusi
🤣😂
Kajamaa ni kaongo kinomaaa.
Ni jamii ya wale watu vilaza ila wanajikuta na akili kinooooma 🤣😂Kajamaa ni kaongo kinomaaa.
Umepiga kama Vincenzo haucheki na nyani usoni 😄😆🙌Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.
Bro uchambuzi huwezi, arsenal tuachie kama ilivyo.
mkorea, makaveli10, HENRY14, Flano, Mbaga Jr.
Jamaa wewe mkorofi sana , ila mwamba kweli Kuna msimu alikuwa anatamva majukwaa mengine kucharua na kuleta uchambuzi mwishoni aseno ilipoanza kufanya vibaya wahuni wakaanza kupiga spana humu kwa hasira mwamba alikinbia na kuachia msala wenzake humu wa nyuki aliochokoza.wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.
Aaron Arsenal ndio Hamis 77Jamaa wewe mkorofi sana , ila mwamba kweli Kuna msimu alikuwa anatamva majukwaa mengine kucharua na kuleta uchambuzi mwishoni aseno ilipoanza kufanya vibaya wahuni wakaanza kupiga spana humu kwa hasira mwamba alikinbia na kuachia msala wenzake humu wa nyuki aliochokoza.
Ananikumbusha mwamba Aaron Arsenal Zamani alikuwa na kawaida ya Usnitch wa kukimbia msala timu ikianza kuyumba na kukimbia jukwaa la mapishi.
Toa hiyo chuki, tafuta Hela huo muda wa kunichukia Mimi😂😂Katika vitu siwezi basi ni KUCHUKIA, siwezi kabisa hifadhi chuki moyoni mwangu..
Huwa nakufurahia tu mwanangu, nakuonaga kama katuni fulani hivi, ama hamnazo kama mwezi mchanga hivi, kuna wakati kaskazi, kuna wakati kusi
🤣😂
Siwez kukimbia ,halafu humu nilipunguza tu ku comment ,nilihamishia X huko ,Jamaa wewe mkorofi sana , ila mwamba kweli Kuna msimu alikuwa anatamva majukwaa mengine kucharua na kuleta uchambuzi mwishoni aseno ilipoanza kufanya vibaya wahuni wakaanza kupiga spana humu kwa hasira mwamba alikinbia na kuachia msala wenzake humu wa nyuki aliochokoza.
Ananikumbusha mwamba Aaron Arsenal Zamani alikuwa na kawaida ya Usnitch wa kukimbia msala timu ikianza kuyumba na kukimbia jukwaa la mapishi.
Una chuki na Mimi Hadi unatia aibu,wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.
🤣🤣We kenge, huwezi kuniambia nitafute pesa hali ya kuwa sijawahi kukuomba msaada, familia yangu haili kwako,Toa hiyo chuki, tafuta Hela huo muda wa kunichukia Mimi😂😂
Nimekoment humu, umeumia
Kumbe uliweka chuki kifuani, halafu sio mara ya kwanza ,awali nilijua ulipitiwa ,kumbe Bado una hasira na Mimi😂😂
Jamaa ni empty Sana, ila ana jikuta genius kwenye hamna.Aaron Arsenal ndio Hamis 77
Mkuu jamaa hana hata akili ya kubadilisha muandiko.
Naunga mkono hoja yako, jamaa ni mbugila sana😂😁.🤣🤣🤣 Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,
Hili jukwaa la michezo hua linatukutanisha na kutuunganisha watu wa jinsia zote, dini zote, vyama vyote na makabila yote na tunajihisi wote ni kitu kimoja.
Ukitaka kuanzisha mambo ya dini au vyama utaliharibu hili jukwaa na kusababisha hata watu wa timu moja wachukiane na waanzishe vita ya wenyewe kwa wenyewe humu.
Kuna majukwaa tofauti tofauti na kila jukwaa lina kazi yake, mtu mwenye busara kila kitu hukiweka mahala pake.
🤣🤣🤣 Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,Una chuki na Mimi Hadi unatia aibu,
Kisa niliucharura uislamu?😂😂
Ndio maana lihamia X kidogo Kuna wenye elimu, nacharura nao kuhusu Uislamu,halafu kwenye issues za Arsenal tupo pamoja na tunasaidiana
Kumbe wewe huku umeweka chuki 😂😂😂
Unataman unimeze kabisa