Hakikisha tukikutana Palmer anakuwepo mkuu....hatutaki malalamiko na visingizio siku hyo....uwe na kikosi kamili tucheze boluš¤ š¤
Ndio mnasema mna quality sio?
Hakikisha tukikutana Palmer anakuwepo mkuu....hatutaki malalamiko na visingizio siku hyo....uwe na kikosi kamili tucheze boluš¤ š¤
Kwa akili ya kawaida kabisa unaamini hizi quote za kutengenezaš¤£š¤£š¤£....kwli Chelkenge ni Chelkenge tu....tunawasubiri siku ya tukio tuonyeshane makaliView attachment 3491250
Ndio mnasema mna quality sio?
Isaka pale Newcastle,timu ilikuwa inamzunguka ,ndio maana alionekana vile,Kwa upande wangu Gyokeres akifunga huwa nafarijika sana.
Maana kuna wachawi wengi huwa wanakesha vilingeni ili jitu bad lionekane flop kama Isak.
Yule Isak liverpunga wajikumbushe kwa Andy Caroll ndio watawajua Newcastle vizuri.
Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.Atletico walipopigwa goli la kwanza ,wakafunguka
Hapo ndio ilikuwa kosa
Ndani ya dakika 13 chuma 4
Pep siku ile alicheza kama Mourinho,hakuwa mjinga
Pumbavu ,sijachambua kukufurahisha wewe ,Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.
Bro uchambuzi huwezi, arsenal tuachie kama ilivyo.
mkorea, makaveli10, HENRY14, Flano, Mbaga Jr.
Matako yake..Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.
Bro uchambuzi huwezi, arsenal tuachie kama ilivyo.
mkorea, makaveli10, HENRY14, Flano, Mbaga Jr.