Tulia weweNyie vilaza hatutaki leo visingizio vy game la mapema.View attachment 3471044
Mwenzako huyo ashaanza kutoa milio.Tulia wewe
Kiukweli game za mapema ni mkosi.
Ndugu yangu kama ni mfatiliaji wa EPL basi hautabishana na mimi.Mwenzako huyo ashaanza kutoa milio.
Hakuna mechi ambazo zinawaliza wakamalia kama mechi za saa 8 siku ya jumamosi..Ndugu yangu kama ni mfatiliaji wa EPL basi hautabishana na mimi.
Mechi za chini ya sa10 zina mazonge sana ila ukiona timu kubwa inamuendelezo mzuri wakushinda game za chini ya saa10 basi ujue ni dalili za ubingwa.
Ww ni mjuzi wa haya mambo.Hakuna mechi ambazo zinawaliza wakamalia kama mechi za saa 8 siku ya jumamosi..
Wakati huo ode kaumia tayari..Merino kuanza badala ya rice arteta kazingua sana
😃😃😀Hivi huwa mnashiriki ligi ili mmalize nafasi ya pili au huwa inatokea bahati mbaya tu?
Unajua mmemaintain nafasi ya pili hadi nashindwa kuamini kama ni makusudi au bahati mbaya kwenu!
Ubao upoje huko?😂Merino kuanza badala ya rice arteta kazingua sana
Mkuu mmetuweza 😀😀....yule zobo sijui matobo anapiga freekick ngumu sana....ila tunawasindikiza kidogokidogo....tutakutana mbeleni hukoMkuu vipi 😁😁😁🕜😁😁
Huyu asipokaza makalio....mwakani atauzwa...Babu yake Arteta hatamteteA...yule Andrea Berta hataki ujinga....Martinelli msimu ujao anaondoka....Kila dalili inaonekana...project imeshamuacha tyri....Semenyo anakuja msimu ujao kuchukua nafasi yake....Wakati huo ode kaumia tayari..
Kule Chelkenge alikuwa anacheza na wafukuza upepo😀😀...huku atacheza kwa ku enjoy sana....yaani bolu linapigwa mpk mpinzani ukifungwa unakuwa huna malalamiko....sisi na Chelsea lini kwani....maana ugomvi wetu haujaisha bdoMadueke akikamata vibonde wenzake anageuka Prime Hazard😅😅