Huyo ni winga machachari.Madueke too many touches as if he has no teamares
Tutawaongezeeni aftatu majirani kwa kutuuzia jitu la bolu Madunduka Madueke🤠🤠....anaupiga mwingi sana mpk unamwagika....siku mkimchoka na Gittens tushtueni tufanye biashara🤠🤠Huyo ni winga machachari.
Yule Mosquera tulimnunua kwa sh. Mia Tano ila anacheza kama timu ya baba yake🤠🤠...aisee sasa nna amani sana kule nyuma kwa mabeki....bado Merino asugue benchi ajifunze kukimbia kwa Kasi....jamaa ni kama kabemendwa hivi🤠🤠Hao bilbao wameikamia hii game, arteta aje na plan B ya kupata points 3
Jitu la bolu, GOAT madueke next Ballon D'or. Huyu ndio atakaewatoa nafasi yenu pendwa ya pili kwenda namba moja. Non mess cristiano MaduekeTutawaongezeeni aftatu majirani kwa kutuuzia jitu la bolu Madunduka Madueke🤠🤠....anaupiga mwingi sana mpk unamwagika....siku mkimchoka na Gittens tushtueni tufanye biashara🤠🤠
Usitutishe....j2 tutakuonesha namna ya kumdhibiti Haaland jirani🤣🤣🤣 Siku zote wanaocheka mwanzo ndio hua wanalia mwisho.
Kuna Asenyo ya mwanzo wa msimu na Asenyo ya mwisho wa msimu.
Methali 1:26-29
Nami nitacheka wakati msiba utakapowapata; Nitadhihaki msiba utakapowapata, msiba utakapowapata kama tufani, msiba utakapowapita kama kisulisuli, taabu na taabu zitakapowagharikisha.
Karibu sana baadae mkuu uje Kuona soka safi🤠🤠🤠....naifahamu matokeo unayajua ila unajitoa ufahamu kidogo kuchangamsha genge🤣🤣🤣 Oyaaa nyie Ze Ganjas asubuhi hii ya saa mbili Haaland tayari ameshamaliza chupa mbili za Alkasusu, halafu Jeremy Doku naona amemshikia ki pakiti cha plastic kimefungwa na rubberband.
Mmeshamdhibiti au tungojengoje kwanza?Usitutishe....j2 tutakuonesha namna ya kumdhibiti Haaland jirani