Vipi ndugu zetu bado wanaamn Gyokeres ameflop.
Picha imepigwa na camera sio simuHiyo ndio simu sasa
Mbona kuna Shot on pixel hapo. Naona ni simu ila katumia pia kiooPicha imepigwa na camera sio simu
Ahaa, inawezekana kama ni hivyo.Mbona kuna Shot on pixel hapo. Naona ni simu ila katumia pia kioo
Ni camera, lakini simu hapo ipo kimatangazo zaidi, nahis pixel ni wadhamini piaMbona kuna Shot on pixel hapo. Naona ni simu ila katumia pia kioo
Hiyo imepigwa na kamera wameweka chapa ya mdhamini pixelHiyo ndio simu sasa
Ndio maana wanatapeliwqga hwataki kujiongezaNi camera, lakini simu hapo ipo kimatangazo zaidi, nahis pixel ni wadhamini pia
Picha imepigwa na camera sio simu
Some other fans mmejawa na hate.. sasa huo ujumbe wangu una ubaya gani, au ndio nyie kila ujumbe mnau perceive vibayaMimi nimesema hiyo simu aliyo ishika, acha utapia mlo.
It is a shame to see a big club like Manchester united buying players lured by what they see on YouTubeWe've dodged a huge bullet. Huyu Sesko ni very average, physically not enough. Not even close to what we wanted.
It is not a player...it is the team....Manunu hata kama wangekuwa na Haaland bdo angeonekana flop....the team is rotten from the top to the core....ili watoke hapo walipo wanatakiwa waondokane kwanza na mentality ya kwmba sisi ni wakubwa...wakubali Hali halisi kwmba wao ni mid table team kwa sasa hii itapunguza presha kwa wachezaji....lakini pia wapate makocha sahihi na wawape mda ku implimate mawazo yao...mm nawashauri waachane na hyu Amorim wamchukue yule Babu Nuno na wampe mda na uhuru....they will be back....ila vngnevyo hakyanani tutabaki tunabishana na mashabiki wa Chelkenge na Livakuku hmu maana wao watakuwa Championship hukoWe've dodged a huge bullet. Huyu Sesko ni very average, physically not enough. Not even close to what we wanted.