Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Walcott Angeanza jaribu namna hii tangu mwanzao angekua na Goli tayari
 
Van Parseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Kama kawauda. Yake hamna kutuliza wala nini.kanikumbusha goli lake moja tamu sana alifunga kwa kuunganisha moja kwa moja.
 
Hii 2nd Half sio njema kabisa.... inabidi tustep up our game...........
 
Bonge la goliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....rvppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
 
Hivi ni kwa nini Emirates panakuwa pagumu sana kwetu msimu huu?

Mie emirates nalia na fans tu. Wako kimya sana wanatakiwa washangilia kuanzia mwanzo mpaka mwisho wachezaji inawasaidia kuwa nguvu.

Lakini uwanja uko kimya wanajiona kama wako ugenini.

Si unawasikia sasa hivi wanaimba baada goli? Wakati walitakiwa wawe hivyo toka mwanzo.
 
Back
Top Bottom