AW, Viper, Balantanda, Jaguar, Wacha1 kweli wapenzi original! Kudos!
Yaani mkuu ungejua ninavyowachukia Spurs! Wanachonga sana eti mwaka huu lazima wamalize above us na lazima watwae ubingwa.pamojah mkuu mdogomdogo tutafika .. Newcastle amerudi where they belong bado spurs ...
Hatimaye tumefika where we belong......Kwenye top 4,tunashika nafasi ya 4 sasa,mbelea ya vibabu vya darajani,Chel5ea
Yaani mkuu ungejua ninavyowachukia Spurs! Wanachonga sana eti mwaka huu lazima wamalize above us na lazima watwae ubingwa.
Jaguar, wanadhani "wata pounce" kwenye hizo nafasi nne, ila sidhani, tatizo kwetu ni Man City na Man U, kushindwa kuendelea Ch Lg, UEFA wanaweza punguza nafasi kwa timu za EPL labda na kua 3, kama UEFA itafanya io issue mwakani itakua noma, ila kama baada ya mwaka ujao itkua poa.
vp mkuu unaogopa 2naweza kuwa wa 4 nn?mi ninahope 2tafika 2 huko juu.
Next up Mancs lazima wale mkong'oto ... ... ... ... ... ....