Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dah!jana wadau tigo ilizingua net so ckuweza kuwa pa1 na nyie ila mida hii ndo imerudi.Game ya jana niliicheck.mi nadhani kuna wachezaji kama sqculaish,jiruu na manone ni muda wao wa kuondoka gunners na kama inawezekana jan hii waende.
 
bora yenu mshapita lakin mmeshindwa kutamba dhidi ya olympiacos kimbembe leo kwa chama langu..
 
bora yenu mshapita lakin mmeshindwa kutamba dhidi ya olympiacos kimbembe leo kwa chama langu..

Tulishawafunga hao Olympiakos Emirates chacha chida iko wapi? Tunaangalia kukuza vipaji baada ya kufahamu mpunga wa CL utakuja Emirates ... ... mtakutana nao kwenye Europa cup jaribuni bahati yenu ... .... .
 
wewe acha tu bora ya city ilijua itatoka kuanzia ile gemu ya italy tuliopoteza lakini manure na wapa pole..
droo vipi mkikutana na baca mtapona kweli au real madrid..
 
wewe acha tu bora ya city ilijua itatoka kuanzia ile gemu ya italy tuliopoteza lakini manure na wapa pole..
droo vipi mkikutana na baca mtapona kweli au real madrid..
Timu zote zinafungika mkuu.
 
Wikiend hii twamsubiri Everton na kama mjuavyo beki zote za kushoto(santos&gibbs) zimeumia na beki za kulia(sagna&jenkinson) hadithi ni ile ile.Mpango wa Wenger ni kama ifuatavyo;(Thomas vermaelen,left back)>(Johan djourou,right back)>(Per mertesacker&Laurent Koscienly,central backs)
 
hapo kwa Johan Djourou ndo nawacwac sana,nahic ndo itakuwa njia huko.
 
hapo kwa Johan Djourou ndo nawacwac sana,nahic ndo itakuwa njia huko.
Hata mimi nina hofu kama yako,ningekuwa mimi ndo wenger ningepanga kama ifuatavyo:left back~vermaelen,central backs(song&mertesacker),right back~koscienly halafu pale kati defensive midfield namtupia bwana mdogo Frimpong.
 
Arsenal vs Everton
December 10, 2011 10:00 AM EST
Emirates Stadium - London
Referee:‬ H. Webb‎

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #f2f2f2, align: left"]PROBABLE LINEUPS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: left"]
ARSENAL
[h=2]
109185.jpg
[/h]
Szczesny
Djourou, Koscielny, Mertesacker, Vermaelen
Arteta, Song, Ramsey
Walcott, Van Persie, Gervinho

[/TD]
[TD="align: left"]
EVERTON
109193.jpg
Howard
Hibbert, Heitinga, Jagielka, Baines
Coleman, Fellaini, Rodwell, Osman
Cahill
Saha

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Arsenal looks set to continue with the shape that has served it well in recent weeks, with its only concerns coming from the fact that fit fullbacks at the Emirates are few and far between. With Andre Santos injured midweek in Greece and Bacary Sagna, Kieran Gibbs and Carl Jenkinson already injured, Arsene Wenger will likely draft in Johan Djourou on the right and move Thomas Vermaelen over to the left flank.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #f2f2f2, align: left"]DID YOU KNOW?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

  • Arsenal did the Premier League double over Everton last season, winning 2-1 on both occasions.

  • 150618_news.jpg
    Robin van Persie (pictured right) has lashed in 18 goals and provided five assists in 20 appearances this term.

  • Everton has scored just 15 goals so far this season, exactly half of Arsenal's tally.

  • Arsenal has lost just once to Everton in their last 10 meetings, stretching back to 2007.

  • Evertondon't do well at all in north London, chalking up just one win in 19 visits, with the last one coming over 15 years ago.

  • Against Everton, Arsenal has the finest goalscoring record of any team versus any opposition in Premier league history, clocking up 79 goals.

  • In its last 11 outings against the Gunners, Everton has scored 11 goals.

  • Arsenal's tally of 19 points from its last seven Premier League matches is equal to the tally it took from its previous 18 games.

Head to Head [TABLE="width: 100%"]
[TR="class: headToHeadMatches dark"]
[TD]English Premier League (EPL) ‎(EPL)‎[/TD]
[TD]Feb 1, 2011[/TD]
[TD]Arsenal 2 - Everton 1 [/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: headToHeadMatches light"]
[TD]English Premier League (EPL) ‎(EPL)‎[/TD]
[TD]Nov 14, 2010[/TD]
[TD]Everton 1 - Arsenal 2 [/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: headToHeadMatches dark"]
[TD]English Premier League (EPL) ‎(EPL)‎[/TD]
[TD]Jan 9, 2010[/TD]
[TD]Arsenal 2 - Everton 2 [/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: headToHeadMatches light"]
[TD]English Premier League (EPL) ‎(EPL)‎[/TD]
[TD]Aug 15, 2009[/TD]
[TD]Everton 1 - Arsenal 6 [/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: headToHeadMatches dark"]
[TD]English Premier League (EPL) ‎(EPL)‎[/TD]
[TD]Jan 28, 2009[/TD]
[TD]Everton 1 - Arsenal 1 [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

VIVA GUNNERZZZZZ!!!

Arsenal unveil statues of three legends - Henry On event
hennry.jpg
 
Attachments

  • legend1.jpg
    legend1.jpg
    1.5 KB · Views: 79
Back
Top Bottom