Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wakuuu Song wamuongezee mshahara na mkataba mpya mapema kabla wazushi wajaanza kuja na hela zao za wizi.
Haujakosea mkuu,jamaa yuko kwenye form ya hali ya juu na mara nyingi anamlisha sana RVP mipira ambayo husababisha magoliWakuuu Song wamuongezee mshahara na mkataba mpya mapema kabla wazushi wajaanza kuja na hela zao za wizi.
Naona leo Rooney na Nani wako kwenye form ya ajabu aisee....
Asante sana mkuu.....Goli la RVP ni zuri ajabuSana mkuu leo naona wapo vizuri sana sio kidogo,na hongereni sana kwa goli zuri na la ushindi
Thats what Matters the Most!!!!! 3 Solid points... Safi kabisa.... Nipumzike nikisubiri MaDrid Vs BaRca...............Safi sana.point tatu muhimu kabisa.
Thats what Matters the Most!!!!! 3 Solid points... Safi kabisa.... Nipumzike nikisubiri MaDrid Vs BaRca...............