Nadhani kwa mara ya kwanza tunaiona top 4 ndani ya sizon hii....tutamtandika nyingi tu huyu evaton....natabiri ars 3-eve-1
SURE... For a day or two.....What a PLAY by the SOLID ROCK MOUNTAIN Himself VERMINATOR!!!!! Swafi kabisa!!!!
Ugonjwa wetu wa kukosa magoli sijui utaisha lini.
Kwa control na technics Ramsey anamfikia Fab na anaweza kuwa kamwacha. Tatizo la Ramsey ni umaliziaji tu..sijui ni lini atakuwa na jicho la goli na final ball.Sometimes UBAVU unalipa sana.... HIYO battle ya FELAINI na RAMSEY nimeipanda sana.... Yaani Ki RAMSEY full kuzidiwa...... Hahahahahahaaa