Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona watu wanamuongelea negatively Captain. Kwa upande wangu alikuwa ndiyo man of the match kabla hajaumia. Hata mechi na manyumbu alicheza vizuri sana.

Siyo kila pasi unapiga tu, wakati mwingine unaangalia na unayempa pasi atakuwa kwenye mazingira gani baada ya kuupata mpira. We unaona anachelewesha mwenzako kichwani anaona pasi inatakiwa ipite pale ili ilete madhara.

Mbona hamuongelei jinsi Odergard alivyo kuwa faster kushoot anapopata chance, hasubirisubiri??
kapteni amekuwa bora within these 2 games, bado assist na magoli, mambo mengine yapo right. Arteta bado anampa role ya buildup instead alitakiwa kufocus na final pass sababu gyokeres yupo mbele, labda sababu zubimendi hajatumika vizuri kwa kasi i mean pnp ya ligi
 
Tumekuwa na majeruhi paka tushazoea, kiasi kwamba hatuogopi kitu

Uefa tumecheza na ST Merino, Gabriel kitasa alikosa dhidi ya madrid & psg, hii ndio sababu sina hofu na majeruhi msimu huu

paka sasa tuna Jesus, havertz, white, saka na Ø kwenye ward ya wagonjwa

Dhidi ya liverpool tutacheza anyhow na sioni tukifungwa, wamejitahidi sn draw
 
Hiv rodrygo anaweza kuja kweli?
Andrea Berta akiamua game na Liverpool atakuwepo kwenye starting 11
IMG-20250822-WA0085.jpg
 
Huyu ana itwa dada sesi
Hili jina ndo linamfaa zaidi 😂

Btw sesko ni mid player. Na nafurahi tulimpotezea tukaenda kwa option nyengine maana huo muda wa kumvumilia mtu mpka kudeliver, no excuse but kwa sasa hatuna. Tushavuka hizo phase.. this time tumefocus na matokeo zaidi.

Hayo mambo ya project tumewaachia rasmi Man U.
 
Calafiori atasumbuliwa na mbio za Salah. Lewis-Skelly angefaa zaidi ila bado hajatoka kwenye mood ya likizo.
I was thinking the same. Cala ana ukabaji wa kushika, pia anatumia nguvu zaidi kupita kiasi.
Naona Skelly atafaa zaidi maana aliwamudu vizuri PSG na zile winga zao sumbufu.. pia Skelly yuko comfortable zaidi akiwa na mpira, na ni ball carrier mzuri kwenye 3-2-5 transition.
 
Jesus huko X

2241, Aug 24

"It’s been seven months of pain, uncertainty, and anxiety. Today, I finally feel light — like a child playing football again.

GOD IS GREAT. [emoji1431][emoji1491]"
Bora mwamba arudi asaidiane na Gyok. Kisha tupunguze dead woods.. the likes of Fabio, Nelson, Sambi, Kiwior should go. And i hate to say that Zinny should go too japo namkubali sana ila itakua sio nzuri kwake maana hatopata game time anayotaka.
 
The only constant in EPL is for arsenal to finish 2nd.
Kwahiyo hizi mbwembwe zote humu mnapoteza muda wenu bure tu.
 
I was thinking the same. Cala ana ukabaji wa kushika, pia anatumia nguvu zaidi kupita kiasi.
Naona Skelly atafaa zaidi maana aliwamudu vizuri PSG na zile winga zao sumbufu.. pia Skelly yuko comfortable zaidi akiwa na mpira, na ni ball carrier mzuri kwenye 3-2-5 transition.
skelly kuwa inverted fullback imekuwa na athari hasi zaidi kwa timu hasa inapopoteza mpira ,kasi hana ya kurudi kwenye eneo lake na pia wkt mwingine anajisahau mno yupo eneo gani uwanjani ,atafaa zaidi endapo haya mambo ya ku invert asipewe yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom