Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Calafiori atasumbuliwa na mbio za Salah. Lewis-Skelly angefaa zaidi ila bado hajatoka kwenye mood ya likizo.
Benjamin muhuni White anarudi wiki hii...kule kulia acheze yy halafu kushoto acheze Timber Huwa anacheza ule upande....kule yule Salah akakutane na kile kigingi....Calafiori hii mechi akae nje....huo ugomvi haumuhusu.....Kuna gemu pale Emirates Tomiyasu aliwahi kuchezeshwa kule kushoto akawa anatembea na Salah yule mjinga hakufukuta...Arteta anatakiwa arudie hili suala
 
Kuna uwezekano arsenal inataka kubeba makombe yote

Andrea Berta atafutiwe ulinzi
IMG-20250825-WA0023.jpg
 
Benjamin muhuni White anarudi wiki hii...kule kulia acheze yy halafu kushoto acheze Timber Huwa anacheza ule upande....kule yule Salah akakutane na kile kigingi....Calafiori hii mechi akae nje....huo ugomvi haumuhusu.....Kuna gemu pale Emirates Tomiyasu aliwahi kuchezeshwa kule kushoto akawa anatembea na Salah yule mjinga hakufukuta...Arteta anatakiwa arudie hili suala
Yea. White akiwa fit kwenye game kama hii tunamuweka White RB na Timber LB. Nafikiri kama White alimmudu Doku, basi Ekitike atawezana nae pia. Tumuache Timber ale sahani moja na Mo Salah. Salah akihamia LW, Timber anamfuata huko huko. Mbona yule farao maji atayaita mma...
 
kapteni amekuwa bora within these 2 games, bado assist na magoli, mambo mengine yapo right. Arteta bado anampa role ya buildup instead alitakiwa kufocus na final pass sababu gyokeres yupo mbele, labda sababu zubimendi hajatumika vizuri kwa kasi i mean pnp ya ligi
Kuna watu wao macho yanaona makosa tu, hawaangalii mazuri.
 
Back
Top Bottom