Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna rhythm tumeipoteza, japo game ya kwanza na man u tulikuwa hovyo zaidi, hii kipindi cha kwanza tukawa hovyo cha pili kwa mbaali tuwa arsenal, lakini chama hili bado..
Huyu ZUBIMENDI atulize akili, hajakaa sawa.
Odegaard ni kiazi, anaforce sana kukaa na mali, kibaya zaidi yule mtoto nwanweri nae anaiga ujinga ule ule..
Kuna sehemu kadhaa gyokeres alikuwa anatengeneza mikimbio na wao hawapasii wanaung'ang'ania mpira bila sababu za msingi..
Tumjaribu na eze tuone ataongeza nini, ila bado hatujawa vizuri.
 
Mdogo mdogo gari lita changanya to
 
Malizana na Joelinton kwanza Jumatatu na yule Elanga....halafu tuje kuzungumza ya wiki ijayo....nyny hamtufungi....litapigwa Loki la rice..merino na Zubimendi pale kati hakuna kupita....Timber atatembea na Salah...Benny Blanco na Yule kinega wenu gakpo....Saka na Odegaard hatuwahitaji....wakae nje mwezi mzima....tubaki na hawa wahuni
naona mwenyewe umejiachiiiia kwenye keyboard unatype tu. Tuombe uhai hiyo next week
 
Ule upuuzi anaofanya Odegaard na Nwaneri utasababisha tusiuone ubora wa Bouncer lenu Gyokeres, yaani mtu anajijua kabisa yeye sio Messi halafu analazimisha kukaa na mali mguuni muda ambao Gyokeres tayari ashajipatia position muruwa kabisa, matokeo yake kujigongagonga kama Budo Mutale possession lost no chance created. Mlikuwa sahihi kukomalia deal la Eze coz inaeleweka Mateta ameenjoy sana pass zake.
 
Huenda Eze akamuweka Ode bench na Gyökeres, Madueke na akina Martinelli na Trossard wote wakafaidi sana na uwepo wake.
 
Karibu Arsenal EZE EBERICHI

Screenshot_20250823-145756.jpg
 
Kuna rhythm tumeipoteza, japo game ya kwanza na man u tulikuwa hovyo zaidi, hii kipindi cha kwanza tukawa hovyo cha pili kwa mbaali tuwa arsenal, lakini chama hili bado..
Huyu ZUBIMENDI atulize akili, hajakaa sawa.
Odegaard ni kiazi, anaforce sana kukaa na mali, kibaya zaidi yule mtoto nwanweri nae anaiga ujinga ule ule..
Kuna sehemu kadhaa gyokeres alikuwa anatengeneza mikimbio na wao hawapasii wanaung'ang'ania mpira bila sababu za msingi..
Tumjaribu na eze tuone ataongeza nini, ila bado hatujawa vizuri.
Misimu kadhaa tumekuwa tukianza kasi sana halafu baadae tunakata moto.

Kuanza kwa gia hii naona iko poa muhimu tubebe 3points na magoli ya maana.

Ukiangalia mara nyingi mabingwa wa Epl huwa wanaanza na gia ndogo wanaenda huku wanaongeza kasi hii husaidia hata players kusave energy.

Hawa kina Saka na Ode ni heri waumie mapema ili wawe fit nyakat muhimu tutakazowahitaji.

Arteta akikosa Epl au Uefa basi wamuwambe makofi na afukuzwe sa 7 mchana.
 
Wanaona wanamtania kumuita Jokeres kumbe wanamsifia [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baada ya Saka kuumia nasikia Tetea Kiwigi anaenda ku-hijack dili la Isak ili jumapili awepo dhidi ya Liverpool pale kwenye dimba la Kuku choma (Anfield)
Tokea jana usiku Isak kafanya mgomo wa kula na kupumua akishinikiza Newcastle wafanye haraka kukamilisha hili dili ili jumatatu atue Arsenyo.
Isak haitaki timu yoyote anaitaka Arsenyo.
Here we go soon.
images-38.jpg
 
Here we go soon. View attachment 3450985
Mashabiki wa mid table team mna tabu saba.
 
Eze amesikia kilio chenu ndugu zangu....yule Odegaard akae nje kidogo...Captain unakuwa bishoo sana kama nn sijui.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msichokijua huyo Mmasai wenu Eberechi Kili Paul Eze ni black version ya Jack Grealish.
Jipeni false hope za kutosha lakini baadae hatutaki kuwasikia mnamtukana huyo muimba kuchikuchi wenu.
images-39.jpg
images-40.jpg
images-41.jpg
 
Naona watu wanamuongelea negatively Captain. Kwa upande wangu alikuwa ndiyo man of the match kabla hajaumia. Hata mechi na manyumbu alicheza vizuri sana.

Siyo kila pasi unapiga tu, wakati mwingine unaangalia na unayempa pasi atakuwa kwenye mazingira gani baada ya kuupata mpira. We unaona anachelewesha mwenzako kichwani anaona pasi inatakiwa ipite pale ili ilete madhara.

Mbona hamuongelei jinsi Odergard alivyo kuwa faster kushoot anapopata chance, hasubirisubiri??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom