Lete Picha ya sesko aki shangilia goli, ndani ya uzi wa nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jokeri leo ndio MoM ukibisha huna akili.
Takwimu zinaonesha Jokeri amewapiga wachezaji wa Leeds vikumbo vingi kuliko idadi ya mipira aliyogusa. View attachment 3450449
Nxt week tunakuja Anfield, anza kujiandaa kisaikolojia.Sijawai Kuona timu inabeba ubingwa kwa kutegemea set pieces
Oya flanunu mbona kimya, au lipeni hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jokeri leo ndio MoM ukibisha huna akili.
Takwimu zinaonesha Jokeri amewapiga wachezaji wa Leeds vikumbo vingi kuliko idadi ya mipira aliyogusa. View attachment 3450449