jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 705
- 1,032
Na ndio ameletwa kwa ajili ya hizo team dhaifu, maana zimetusumbua sana for the past 3 seasons. Hawa wanaojiita wakubwa tunajua namna ya kushughulika nao hata bila Gyokeres.Tunawaambiaga huyo Victor G usimpime kupitia farmer league huyo hat top 5 goal scorers hatokuwepo atabahatika kupitia penalty taker na team dhaifu basi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app