Martineli, Gabriel Jesus's na Odegard sio wachezaji wa kutupa ubingwa.Kila mara unapojipa matumaini Arsenal imekamilika lakini ukiingia ndani ya uwanja unaona bado kuna deadwood nyingine ambazo zinalindwa na aibu tu lakini uwezo umepungua sana... Martinelli na Odergard kiukweli uwezo wao umepungua sana
Amna tatizo walio nyuma yake wamaana ni saka tu ..yan naona kabisa gyokeres akilose confidenceIla kusema ukweli naona kabisa Gyokere tumetapeliwa, anarukaruka tu uwanjani.
Wamekusikia mkuuTumecheza vibaya coz nyumbu wametu-win kucheza mpira wao
Inabidi zubi na rice watulize team tuanze kucheza soka letu
Odegard aache mapepe, yeye kazi yake kupiga penetration pass, shooting
Mbona hizi kenge hazifungi sasa kama zimeshajua mbwinu za Arteta.Hii timu Bado na msimu huu hata top 4 hatumo
Nadhani Arteta mbinu zake zimezoeleka
Tuangalia namba ya kumpata coach mpya