Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

aise odegaard inabid abadirike sana,msimu huu siko emotional kabisa,najitaid kudeal na detail,ila kwa nilivyoina liverpool arsenal tunakazi sana.liverpool karibu wachezaji wote wanafunga.arafu nashangaa salah hakabwi sana kama saka.ule upande wa martinel ule ndio unaendelea kutucost msimu baada ya msimu.kama arteta hajajua kushinda mechi za timu ndogo anatoa droo za kijnga hatuwez kuwa mabingwa
 
Nyumbu leo atavutishwa pumzi ya moto pale pale matofali ya kuchoma
IMG-20250815-WA0010.jpg
 
Safari hii nakupiga mkono (tano tano) home and awayView attachment 3428557
Tulikuwa tunawapiga hadi 6 nyie mambo ya kawaida hayo game zimekuja kipindi cha mpito mbaya zaidi mlikuwa mnatuchukulia wachezaji wetu muhimu ili kutuangusha kipindi kile cha sakata la ukraine ila now tunawauzia reject tuu na huu msimu ndio wa malipizi mtagongwa sana na hii chelsea
 
Naangalia lineup ya nyumbu, nagundua wamejipanga kupack bus

Hata muhindi mwenyewe amemkataa nyumbu
Screenshot_20250817_174144_FotMob.jpg
 
[emoji599]No onana for Manchester utd today

Onana hayupo golini lakini yupo fit vizuri tu

Nyumbu wamestuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Combination ya white na saka ni kali saka kuliko timber. Ila hakuna ambae hajui mziki wa timber

Calafiori ni mzuri na matured enough katika big game, skelly akiingia atakuja kuwachekecha vizuri

Hiki kikombe nyumbu lazima wanywe
Screenshot_20250817_175635_FotMob.jpg
 
[emoji599]Arsenal Subs:
Arrizabalaga
Timber
Lewis-Skelly
Mosquera
Merino
Nwaneri
Trossard
Madueke
Havertz.

Sub za moto sana,[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom