Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo meme ipo wapi ?
Vipi iyo meme tayari unitumie?
Hii haiondoi kuwa nyie hapo London hamna kombe wakati wenzenu wana makombe 😂

Anyway, kwa sasa tuendelee kutumia hizi

images.jpeg


download.jpeg
 
  • Real Madrid has 105 total trophies
  • Barcelona has 103 total trophies
  • Manchester United has 68 total trophies
  • Liverpool has 68 total trophies
  • Arsenal has 48 total trophies
  • Chelsea has 36 total trophies.
 
Muda sio mrefu kutakuwa na meme mpya ya phase 1 ya Thomas Frank ana kombe kubwa Ulaya dhidi ya phase 6 za arteta mshika nafasi ya pili king'ang'anizi [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Chelsea mliwapa mbinu nzuri tu Spurs ila mkasahau kuwafundisha kushikilia bomba.
Ila Thomas Frank nae kazingua sana kwa subs zake za kipumbavu, alivyomtoa Kudus na Palhinha na kuwaingiza Gray na Mathys Tel ndio akawapa nguvu Psg ya kuwapelekea moto vizuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nawakumbusha tu na wala sina lengo la kuwatisha, Benjamin Šeško yule ni Haaland mtupu, tena Šeško amemzidi Haaland kwenye kasi, dribble na shot power.
Haaland ni striker ambae mpe assist anakuhakikishia goal lakini Šeško yeye anakupatia vyote.
Šeško ana uwezo wa kutokea kati au pembeni, kiufupi unaweza kusema Šeško ni mchezaji wa kaliba ya kina Sergio Agüero, Fernando Torres yule wa Liverpool au Eden Hazard wa Chelkenge.
Sasa kwa ile mi assist ya kina Bruno, Cunha, Amad na Mount sioni pahala pa kukwepea hatrick hiyo siku ya jumapili.
View attachment 3439131
Haya maneno yako yatakucost
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Chelsea mliwapa mbinu nzuri tu Spurs ila mkasahau kuwafundisha kushikilia bomba.
Ila Thomas Frank nae kazingua sana kwa subs zake za kipumbavu, alivyomtoa Kudus na Palhinha na kuwaingiza Gray na Mathys Tel ndio akawapa nguvu Psg ya kuwapelekea moto vizuri.
Hawakutumia mbinu yetu ndio maana wamefungwa sisi hatukupack bus kama wao sisi tulikuwa tuna press high ikafanya wasiwe wanaanzisha mashambulizi kuanzia nyuma ikapelekea wawe wanapiga mipira ambapo Sasa hiyo mipira tulikuwa tuna win sisi
 
Kenge na nyumbu kwaio mmeona humu ndio sehemu ya kufanya mazungumzo yenu?

Sasa Nyumbu ntakupiga 3+ hili jukwaa utaliona kituo cha polisi
Kenge dawa yako ipo jikoni, mshukuru mpo mbali kwenye ratiba ya kukutana na sisi
Screenshot_20250809_190210_FotMob.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom