Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyumbu wachagua wenyewe pale mbele tuanze na nani?
Bagabeach King faisal Flano
IMG-20250810-WA0021.jpg
 
Usiku wa deni haukawii, Manyumbu wajue tu hiyo J2 tunafinya yani piga km mbwaa, si mlimvalisha hadi jezi
IMG_20250711_213938.jpg
 
Wanangu mbona mikwara imepungua au bado hamjapiga mswaki. Flano, HENRY14, mkorea, King faisal, Will Jr, Bagabeach, Castr leteni tambo na majigambo. huku Chesko kule Nyokores.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, naona kamati ya usajili kwa sasa nguvu nyingi wanazielekeza kwanza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Hawa Kokores Fc washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya goli 8 nyingine.
1450071577.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, naona kamati ya usajili kwa sasa nguvu nyingi wanazielekeza kwanza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Hawa Kokores Fc washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya goli 8 nyingine. View attachment 3438915
Nyumbuz Endeleeni kujitoa ufaham
Ushindi wenu kwa sasa ni draw tu, tena muitafute kweli kweli
Screenshot_20250812_111004_FotMob.jpg
 
Nyumbuz Endeleeni kujitoa ufaham
Ushindi wenu kwa sasa ni draw tu, tena muitafute kweli kweli View attachment 3438935
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nawakumbusha tu na wala sina lengo la kuwatisha, Benjamin Šeško yule ni Haaland mtupu, tena Šeško amemzidi Haaland kwenye kasi, dribble na shot power.
Haaland ni striker ambae mpe assist anakuhakikishia goal lakini Šeško yeye anakupatia vyote.
Šeško ana uwezo wa kutokea kati au pembeni, kiufupi unaweza kusema Šeško ni mchezaji wa kaliba ya kina Sergio Agüero, Fernando Torres yule wa Liverpool au Eden Hazard wa Chelkenge.
Sasa kwa ile mi assist ya kina Bruno, Cunha, Amad na Mount sioni pahala pa kukwepea hatrick hiyo siku ya jumapili.
1754484403373.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nawakumbusha tu na wala sina lengo la kuwatisha, Benjamin Šeško yule ni Haaland mtupu, tena Šeško amemzidi Haaland kwenye kasi, dribble na shoot power.
Haaland ni striker ambae mpe assist anakuhakikishia goal lakini Šeško yeye anakupatia vyote.
Šeško ana uwezo wa kutokea pembeni na kati, kiufupi unaweza kusema Šeško ni mchezaji wa kaliba ya kina Sergio Agüero, Fernando Torres yule wa Liverpool au Eden Hazard wa Chelkenge.
Sasa kwa ile mi assist ya kina Bruno, Cunha, Amad na Mount sioni pahala pa kukwepea hatrick hiyo siku ya jumapili.
View attachment 3439131
Hii risiti nimeitunza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, naona kamati ya usajili kwa sasa nguvu nyingi wanazielekeza kwanza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Hawa Kokores Fc washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya goli 8 nyingine. View attachment 3438915
Afu hawataki sasa, nyie kusajili mchezaji yoyote yani paka mtoe million 150 na paundi laki 4 ndio mchezaji akubali, sisi Gyokeres bei yake ndogo kuliko hoilundi na nzikeze, Zubimendi bei yake ndogo kuliko ugate, ahaaha! we have the pull bro, mmechoka km mbwa koko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, naona kamati ya usajili kwa sasa nguvu nyingi wanazielekeza kwanza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Hawa Kokores Fc washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya goli 8 nyingine. View attachment 3438915
mosquera £18m, akija pale unyumbuni ni panga pangua, ila unakutana na yoro na magwaya combine ya manyumbu usajili wa million 200
 
Saivi hatuongei sana.....me nitakesha hapa jumapili.

Ni muda sasa wakuonesha.
Kwa heshima ya mpira naona jumapili itakuwa mechi ngumu.
Yaan united ya sasa sio ya zamani.

Nyie passing attack muko vizuri, sie counter attack tuko vizuri
 
mosquera £18m, akija pale unyumbuni ni panga pangua, ila unakutana na yoro na magwaya combine ya manyumbu usajili wa million 200
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri na maskini siku zote matumizi yao hayawezi kua sawa, maskini ataenda kununua nyanya gengeni fungu la kilo 1 kwa shilingi 1000 halafu tajiri anaenda kununua nyanya hiohio supermarket kilo moja kwa shilingi 10,000/-
Arsenyau kabla ya kutaka kufananisha matumizi yetu na yenu hebu jiulizeni kwanza, je mapato yenu na yetu yanafana?
 
We jamaa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom