duh! Flano unajua kumwaga sifa au una undugu na Dotto magari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio tarehe 17 ndio utaprove mwenyewe kua Sesko na Mbeumo wanaenda kua memes mitandaoni kama Kokores.
Kikubwa kwa kua nyie ni washkaji zangu nawasanua mapema kabisa muwe makini sana na set pieces, huyo Sesko urefu wake amelizidi goli kwa futi 1.8 halafu kuna Yoro na Alhaji Magwire.
View attachment 3437206