HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Sesko hajashusha mshahara. Amewapunguzia tu dau alilokuwa anataka. Yaani kama alitaka 200, mmembembeleza amekubali 150. Bado mtakuwa mnalipa zaidi ya 100 zaidi ya alichokokuwa anachukua Leipzig.Tulia muone, kama sesko tu kaja kwetu na kushusha mshahara pia. Ndio utajua legacy ya ferguson bado ipo.
