Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

25 goals za G mabao kabla hatujafika mwezi wa tatu, tuombe uzima

Iweke vizuri hii risiti
Hizo 25 goals labda kama unamzungumzia huyu fundi, lakini kwa huyo Kai Harvez wa kuchemsha (Kokores) utasubiri sana ndugu yangu.
1754484403373.jpg
 
Habari mbaya sana hii kwa Arsenyau, Tetea kiwigi tarehe 17 anaweza asilete timu uwanjani.
Kituo kinachofata tunaelekea Brighton kwenda kung'oa kisiki cha mpingo Carlos Baleba.
1754576372223.jpg
1754576657467.jpg
 
Kumbe Sesko aligoma mpaka kula ili tu asajiliwe kwenye timu la dunia,
Aiseeee Man Utd ni lidude flani hivi likuuuubwa sana, yaani mpaka world class players wanaomba mishahara yao ipunguzwe mradi tu wakachezee hii timu.

Wapenda kandanda barani ulaya hua wana kamsemo kao wanasema:

"If you haven't played for Manchester United then you're not a footballer."
1754636295415.jpg
 
Kumbe Sesko aligoma mpaka kula ili tu asajiliwe kwenye timu la dunia,
Aiseeee Man Utd ni lidude flani hivi likuuuubwa sana, yaani mpaka world class players wanaomba mishahara yao ipunguzwe mradi tu wakachezee hii timu.

Wapenda kandanda barani ulaya hua wana kamsemo kao wanasema:

"If you haven't played for Manchester United then you're not a footballer."View attachment 3435553
Mna penda kuji furahisha, subiri game ya kwanza ukanyagwe na wanaume
 
Humu ndani mkae mkijua mpaka saivi tumesha washenyenta bao 3+ akija baleba na kipa kama donnarumma mjue mnakufa 5+. HENRY14 .
mke wangu + dada zangu ni mashabiki wa manyumbu, nyie ni wake na dada zetu, Jpili tutawaonesha kazi hapohapo geto kwenu, geto la panya, a.k.a panya road
 
mke wangu + dada zangu ni mashabiki wa manyumbu, nyie ni wake na dada zetu, Jpili tutawaonesha kazi hapohapo geto kwenu, geto la panya, a.k.a panya road
Tuliza mshono kuhusu hizo mbwiga dada yako na mkeo hazisaidii chochote kwenu nyie arsenal netflix. lazima tuwa shenyente, mpaka mseme kwanini bata huwa ana harisha maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom