HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
View: https://www.youtube.com/shorts/CjvViFLFv-o
Maisha ya akina Labyrinth 84 yanaonekana kuwa magumu kwa sasa.
Nasubiri kuona kama watakuwa na timu kali msimu ujao kuliko msimu jana.
Mimi naomba man u wampate Sesko ili aingie choo cha kike na Isak asiende Liverpool. Huyu sesko ni overrated player ni mchezaji asiye jiamini na ndio maana anachukua muda mrefu kufanya maamuzi pili kiwango chake ni cha kawaida na asiye na consistency performance atakupa moment nzuri mechi chache nyingi utamuona averageNewcastle na United wanampambania Sesko sasa. Tuone yupi atafanikiwa kumpata.
Sesko ata akiwa barcelona au man city hana uwezo wa kukupa goals 20+[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio tarehe 17 hizo beki zenu Magelesha na Salima kazi wanayo.
Kiwigi pona yake asilete timu uwanjani. View attachment 3433752
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo Kokores tokea ametua Arsenyau ameshafanya kitu gani hasa cha maana mpaka ukajipa false hope ya kukupea 20+ goals?Sesko ata akiwa barcelona au man city hana uwezo wa kukupa goals 20+
Sesko ni average player with amazing moments
Huu msimu 25/26 Gyökeres ataweka goals 25+ kwenye ligi tu
25 goals za G mabao kabla hatujafika mwezi wa tatu, tuombe uzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo Kokores tokea ametua Arsenyau ameshafanya kitu gani hasa cha maana mpaka ukajipa false hope ya kukupea 20+ goals?
Usichokijua huyo Kokores ni Højlund wa kuchemsha.
Mchezaji alietokea farmers league umtegemee Epl akupee 20+ goals kwa msimu wake wa kwanza ni kujilisha upepo na kutupatia sababu ya kuwacheka ifikapo mwisho wa msimu.View attachment 3434302
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo 25 goals labda kama unamzungumzia huyu fundi, lakini kwa huyo Kai Harvez wa kuchemsha (Kokores) utasubiri sana ndugu yangu.25 goals za G mabao kabla hatujafika mwezi wa tatu, tuombe uzima
Iweke vizuri hii risiti