Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,463
- 3,097
Hawa wahuni wameulizia muda wa mechi vizuri tu ila kutoa updates wamejikausha.
Utasikia, it is just a pre season bro, kwani spurs walikuwa wanacheza mechi ya uefa?
Saliba na Saka inabidi waende timu kubwa sasa km wenzao kina van persie, Sanchez, Henry, nasri etc