Lazima Madueke aje achukue medali yake awaletee muone inavyoonekana ššTulishampata Gyokeres so Cheli kaeni mbali na uzi wetu š¤£
acha ushabiki maandazi, Cole palmer aki punguziwa majukumu uwanjani ana jua
I See.
Huyu jamaa alikaa bila kuscore kwa muda gani?
Siku nyingine niki kufundisha mpira,usiwe mbishi kijanaš¦ .Fifa Club World Cup.
Mechi nne
Goli moja
Assist moja
Itakua haupo aware.Siku nyingine niki kufundisha mpira,usiwe mbishi kijanaš¦ .
Mimi ni arsenal,ila uwezo wa palmer ni mkubwa ikiwa ata punguziwa majukumu uwanjani.
Hizo quote za palmer Huku andika wewe?, hahaha sajili ya madueke isi kutoe mchezoni.Itakua haupo aware.
Nilisema Madueke akija Arsenal naacha kufuatilia mpira.
Usiniquote tena kuhusu mpira. Hii siyo wewe tu ni kwa wote
Wewe ni mpya hapa?Hizo quote za palmer Huku andika wewe?, hahaha sajili ya madueke isi kutoe mchezoni.