Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiachana na man u na Arsenal hakuna team nyingine kubwa zilikuwa zinamtaka
 
Siyo kwamba tulikuwa wenyewe tunaomtaka. Tulimtaka wengi ila yeye alikomaa kuwa anataka kuja kwetu tu, hivyo wengine wote, mfano Manchester United, wakajikuta hawana nafasi ya kumchukua.
Hakuna team nyingine zilikuwa zinamtaka tofauti na nyie na manyumbu
 
Ukiachana na man u na Arsenal hakuna team nyingine kubwa zilikuwa zinamtaka
Yeye mwenyewe aliweka wazi mapema sana kwa anataka kwenda Arsenal na ndo maana timu zingine hazikushughulika naye.
Manchester walijaribu kuhaijack deal mara mbili wakashindwa.

Kuhusu Manchester city wasingemhitaji kwa sababu Wana Haaland
Madrid Wana Mbappe
Bayern Wana Kane
Liverpool walishamchukua Witz
Barcelona Wana Lewandowski
 
Team nyingi zilikuwa zimesajili na wengine walikuwa tayari wanao mastrikers huyo striker alishaona mbali Chelsea walishawasajili Joao Pedro na Delap Bayern tayari ina Kane, Madrid hawana shida ya striker, Man city Wana halland
 
Kwahiyo option pekee ya maana ilikuwa Asenal ila ukiwasikia wenye timu wanakwambia kila mchezaji anatutaka πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kwahiyo option pekee ya maana ilikuwa Asenal ila ukiwasikia wenye timu wanakwambia kila mchezaji anatutaka πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ iko hivi. Hao wengine waliwachukua kina Delapkwa sababu wasingeweza kumpata Viktor kwa sababu Viktor aliitaka Arsenal tu. Hata wakati sisi tunajifanya hatumuoni tunahangaika na Sesko, yeye alitoka hadharani na kusema anaitaka Arsenal na atatusubiri twende kumchukua.
 
Kwahiyo option pekee ya maana ilikuwa Asenal ila ukiwasikia wenye timu wanakwambia kila mchezaji anatutaka πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Sio kweli ukitaka kujua Hilo angalia deal hili la Xavi Simon ambapo pia Arsenal mnataka ila mchezaji mwenyewe kaichagua Chelsea. Nyinyi mtashinda vita Kama tu mnagombea mchezaji na man u
 
Mkuu acha upotoshaji Chelsea walikuwa wanataka Osimen Tena ni viongozi but Enzo Maresca hakuwa akimtaka na kocha anapenda mastrikers ambao sio target man Kama alivyo Osimen yaani anataka striker mwenye sifa hizi combined ambaye ni flexible ana press, link up yake nzuri, hushuka chini, ana Kasi, mfungaji mzuri na ndio maana akapendekeza Dilap na Joao Pedro hawa ndio wanahizo sifa anazotaka sisi hatujawahi kumtaka huyo Victor kabisa
 
kwa dunia ya sasa ya mpira ,wingers.. centre backs na ma full back ni wengi na wote wana ubora ambao haupishani sana ,wachezaji wachache wenye ubora ambao ni ngumu kuwapata ni wanaocheza nafasi za kipa ,namba 6 ,namba 8 na washambuliaji wa kati.

hivyo ni rahisi zaidi timu kuachia wachezaji wao bora (wingers ,centre backs ama full backs) na bado ikafanya vizuri kwa kuwasajili wengine mana sokoni wapo wengi mno kwa sasa.
 
Kwani mtakubali? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . Hizo sifa ulizotaja kuwa mlikuwa mnatafuta ndiyo za Gyokeres sasa. Ila siyo shida. Cha muhimu ni nyie mmepata wachezaji mnaomini mnahitaji na sisi pia tumepata wachezaji tunaoamini tunahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…