kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,760
- 20,630
Yetu macho,,,, tuombe huu usajili uende vizuri apafom vyema !Kuna marekebisho kidogo. Hapana, hatujaongezewa bei kwa Viktor bali tumeshushiwa bei tena kiasi kikubwa tu.
Viktor ana release clause ya €100m. Sisi tumeuziwa kwa €63.5 + €10m kwa add-ons. Akitimiza hizo add-ons maana yake ni tutalipa €73.5m, ambayo ni chini ya 3/4 ya bei yake. Ni gharama nafuu kuliko Ekitike, Šeško, Isak, Mbeumo, Matheus Cunha na hata Eze, ikiwa tutampata.
Sioni kama ni usajili mbaya ukizingatia hayo. Hii imetuzewezesha pia kuwekeza kwenye kipa mpya, beki mpya na mido wawili wapya kusaidia timu kuwa na mbadala.