Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1752447841466.png
 
Itakua haupo aware.

Nilisema Madueke akija Arsenal naacha kufuatilia mpira.

Usiniquote tena kuhusu mpira. Hii siyo wewe tu ni kwa wote
Unaachaje wali nazi wa maharage nazi matata na kikombe cha chai tangawizi pembeni kisa umetafuna jiwe moja kwa bahati mbaya?

Usiache kuenjoy kina Gyokeres na Saka watakvyokuwa wanamimina magoli malangoni mwa akina nyumbu na kenge kisa Noni. Tena huyo Noni huenda atafanya vizuri kuliko Sterling. Ukiachana na Arsenal, hutaki kuwacheki kina Vini, Yamal, Bruno na Salah kisa Noni?

Naomba urudishe moyo nyuma na uzingatie upya uamuzi wako. Naona kile unachojimyima hakiendani na sababu ya kujinyima hicho kitu.
 
Halafu naona Madueke atampunguzia Saka majukumu ya baadhi ya mechi. Michuano ni mingi next season na inahitajika squad depth.
 
Gyokeres dili linaonekana limekamilika.
Nafikiri sasa tutakomaa na Christhian Mosquera halafu Eze. Huenda tumeachana na mipango ya Rodrygo kwa sababu tumemchukua Noni Madueke, hivyo tunaweza kuwa tunafikiria kutunza mkwanja ili tumchuke Eze.

Tuna kazi kubwa ya kupunguza wachezaji kama kina Lokonga na Nelson ila kuna matumaini kwamba karibia kila nafasi ina watu wawili (Madueke nimemhesabu mara mbili, yaani kama backup ya Martinelli na Saka). Kwangu sasa Eze naona ndiyo awe kipaumbele maana namuona kama mbadala wa Odegaard kama chief creative mid.
 
Gyokeres dili linaonekana limekamilika.
Nafikiri sasa tutakomaa na Christian Mosquers halafu Eze. Huenda tumeachana na mipango ya Rodrygo kwa sababu tumemchukua Noni Madueke, hivyo tunaweza kuwa tunafikiria kutunza mkwanja ili tumchuke Eze.

Tuna kazi kubwa ya kupunguza wachezaji kama kina Lokonga na Nelson ila kuna matumaini kwamba karibia kila nafasi ina watu wawili (Madueke nimemhesabu mara mbili, yaani kama backup ya Martinelli na Saka). Kwangu sasa Eze naona ndiyo awe kipaumbele maana namuona kama mbadala wa Odegaard kama chief creative mid.
Mosquers tayari
 
Mosquers tayari
Daah. Mosquera tayari? Ngoja nikacheki maana imekuwa chapu sana 😀😀. Watu wetu wa madili watakuwa walichafukwa sana na mashabiki kuzomea usajili wa Madueke wakaona wafanye juu chini kukamilisha sajili za kufunika story ya Madueke.
 
Back
Top Bottom