fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,472
- 10,049
We jamaa watakuchukia humu sababu ya kusema ukweli, muulize jamaa anaitwa Labyrinth 84 washamtenga hadi kahamia newcastle.Endeleeni kujifariji.
Kipara anaanza kukaa sawa huko.
Hata tumsajili nani kama kocha atabaki Arteta basi ni sawa na kazi bure.
Kocha wa Psg Luis Enrique ukimpa Arsenal ya misimu hii mitatu iliyopita.Lazima akupe kombe hata moja la heshima.
Ila yule kazi bure hakuna kazi pale.