Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si waweke akunti muwachangie nyie wamatumbi sio mnapiga kelele halafu hata Mia mbovu hutoi
 
We jamaa unakuwaga mjanja SanaπŸ˜…
 
Hakuna kocha pale.

Endeleeni kujifariji nae tu.
 
Gyokeres asipokuja qmmk sijui itakuwaje. Hii timu inaweza ikakulaza hospitali usipokuwa makini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila siku tunavyosema humu kua Arsenyashi ni kikundi cha comedy hua mnajifanya hamuelewi, haya angalieni sasa jinsi mpaka sajili zenu zinavyowachekesha na kuwavunja mbavu wapinzani wenu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Madueke mtu sana, anaweza akaamua siku hiyo akaambaa ambaa na mpira kwnye chaki kulee gafla akachuna breki kama ngiri akaanza kurudi alipotoka.

Sema nini?! Nyie Arsenal ndio rafiki zetu wa kweli, kwnye wakati wa shida na wakat wa raha.
 
Madueke mtu sana, anaweza akaamua siku hiyo akaambaa ambaa na mpira kwnye chaki kulee gafla akachuna breki kama ngiri akaanza kurudi alipotoka.

Sema nini?! Nyie Arsenal ndio rafiki zetu wa kweli, kwnye wakati wa shida na wakat wa raha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Arsenyashi wanajua sana kutufurahisha mashabiki wa timu pinzani.
 
Ebwaneee. Tumemchukua Noni kiu

Tupeni na Badiashile kabisa maana tumeamua kuwasaidia kutatua matatizo yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilichogundua mashabiki wengi wa Arsenyashi wanam-underrate Madueke kwa vile tu Masingeli amelikimbia hili jukwaa.
Nina uhakika hamis77 angekuwepo humu angempamba Madueke kama vile alivyompamba Harvez na misukule yote ikaingia kwenye mfumo wa kusifu na kuabudu.
Sema lile jamaa lilikua linajua sana kushawishi, halafu lilikua linawachukulia mashabiki wa Arsenyo kama matakor yake.

Hizi hapa chini ni nukuu zake kuhusu Kai:

"Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwezi kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz."
 
Aisee huyo jamaa πŸ˜‚ strength mpk za ngolo kanteπŸ˜‚
 
Nimecheka sana, hapo alipokua anampamba Havertz,πŸ˜‚πŸ˜‚ Havertz huyu huyu wa Arsenal au alikua anamuongelea mwingine!!!

Sijui kwann jamaa hajaribugi kuingia kwnye siasa ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…