Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Its our corner wich was the catalyst of thier Goal.
Washika bundiki kwaherini
 
:sad:Anyway sio mbaya, tumewaona subs, "The OX" sio wa kawaida,kama alivyosema AW hapo juu, huyu kijana kaiva, ndio muda wake acheze sasa, hasa ukichukulia vijana kama Walcott wamechoka.
Game ilikua poa, ila Park naona ana struggle akicheza na timu hizi kubwa, sijui tutamtegemea RVP mpaka lini, Marouane Chamakh tunajua anavuta muda tu, Frimpong, Coq na hasa hasa Laurent Koscielny, bomba wakuu.
Usiku mwema na sidhani kama tutatoa machozi leo!
 
Dah!kumbe nilikosa bonge la mechi!!mi nafikiri huyu dogo OX anatakiwa awe anaingia sub kwenye mechi za epl ili aweze kupata uzoefu na kama inawezekena kwa huyu Park nae inabidi awe anaingia sub.mi naimani huyu mkorea ni mzuri,anaweza akasaidiana na RVP.
 
Asernal bila Van Persie haiwezekani: yalala 1 kwa Man City na kuiaga Curling Cup.
 
nilikuwa nacheki na washakji flani walipoona kikosi cha gooners wakatabiri bao zaidi ya 5 .... hehe! vijana wamejitahidi saana tu! ila sijajua kwa nini wenger anampenda sana chamark! ...
 
kumbe tunaweza kuwafunga maana ndio timu mpaka sasa ninayo ihofia maana arsenal hamchezi rafu kama liverpool..
poleni sana viper wacha1 na wengine..
 
nilikuwa nacheki na washakji flani walipoona kikosi cha gooners wakatabiri bao zaidi ya 5 .... hehe! vijana wamejitahidi saana tu! ila sijajua kwa nini wenger anampenda sana chamark! ...
Kwa sababu ametoka Ligue 1. na anaongea kifaransa.
 
Being frimponged!

AyIHeKhhB6ozAAAAAElFTkSuQmCC
9k=
 
Naona mmetolewa KOMBE lenu..sasa sijui mnabaki na nn msimu huu..:eyebrows:
 
Zile run za NASRI sizioni au ndo formation ya Kocha mpya!!!
Nasri angebaki tu Arsenal,maybe ni more money pamoja na kutaka kuwepo kwenye kikosi cha ubingwa,zaidi ya hapo wala hafit Man C.

Pale kuna kina Aguiero,Silva na Baloteli,wanambana,bado Milner na Adam Johnson...Benchi ataoberto sugua sana,uzuri Roberto Mancini anajuwa kuwapoza,tatizo la Nasri akisugua benchi kiwango kinashuka,hajazoea.
 
Ni aje wadau wa washika bunduki . Leo game mnaonaje

TEAMS -
Wigan:
Al Habsi, Stam, Gohouri, Caldwell, Figueroa, Diame, Jones, Gomez, McCarthy, Moses, Sammon; Subs: Pollitt, Crusat, Watson, Di Santo, McArthur, Rodallega, Lopez

Arsenal:
Szczesny, Koscielny, Mertesacker, Vermaelen, Andre Santos, Ramsey, Song, Arteta, Walcott, Van Persie, Gervinho; Subs: Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Djourou, Arshavin, Chamakh, Benayoun, Coquelin
 
Back
Top Bottom