Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chamackh mpira wa team work hauwezi kabisa!!! Yaani anazunguka tu ka pia!!! Yeye ni Finisher ambae kwa sasa Cant even finish!!!
 
Hili Game letu jaman au gunnerz fans wenzangu mnaonaje?

Hili game limekaa 50ty 50ty. Atakayetumia chance zake mapema anawea kubadisha sura ya mchezo. Naona goli a kwanza linaweza kuwa muamuzi kama si kubadilisha sura nzima ya mchezo.
 
Walcott anadeku game na dem mkali...Safi... Good footballer with a b'ful g'f...
 
Hawa watoto wakifika mbele pale sijui wanafanya upuuzi gani!!!!!???????
 
Huu ndo muda wa kuwapiga hawa Jamaa... Chamber anajitahidi sana...


Big time mkuu, anajua kujituma kutafuta ushindi.

Wenger anatakiwa amtumie kwenye premier league dakika 15 za mwisho zile hili apate experience zaidi. Super Sub.
 
Washabiki wa arsenal wana repsect kwa Kolo toure lakini sio Nasri . Kila aigusa mpira nasri anazomewaaaa.
 
Jamani mnatakiwa kufunga mnapopata chance............maana naona hawajamaa watawafunga soon.
 
vibabu vya london(Chelsea) vimeshachapwa mbili kavu mpaka sasa na liverpool na ni dk ya 70
 
Back
Top Bottom