Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Koscienly naona cross zake nzuri kule upande wa kulia.

Mtaalam Sagna anapona lini sijui; nilikuwa nimemsahau kabisa. Atasaidia kuongeza nguvu kwenye kikosi akirudi.
 
Itapendeza zikikiongezea goli nyingine mbili kipindi cha pili moja ya gerv nyingine ya Van.

Dah!huyu gavinyo cjui vp?
Kwa mtazamo wangu Pale gervinho hakuwa na namna. kipa alishamtight lazima choice ilikuwa aende kulia au kushoto. kwahiyo kipa wa wapinzani apongezwe
 
Koscienly naona cross zake nzuri kule upande wa kulia.

Mtaalam Sagna anapona lini sijui; nilikuwa nimemsahau kabisa. Atasaidia kuongeza nguvu kwenye kikosi akirudi.

alafu huyu beki wetu mwenye jina gumu ole namba ya sagna anaicheza vizuri kuliko djorou but utakuja kushangaa wenger atafanya sub aingie djrou
 
Itapendeza zikikiongezea goli nyingine mbili kipindi cha pili moja ya gerv nyingine ya Van.

Kwa mtazamo wangu Pale gervinho hakuwa na namna. kipa alishamtight lazima choice ilikuwa aende kulia au kushoto. kwahiyo kipa wa wapinzani apongezwe

kweli mkuu kwani 2010 Wigan vs Arsenal walitoka 0-2 na final score Wigan 3-2 Arsenal
 
Back
Top Bottom