Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chamackh ni mgonjwa nini??? hana ball ile iliyokuwa nayo... Anakohoa mbaya!!!!
 
tumechapwaaaaaa counter attack tuna dakika kama 8 hivi a kusawaishaau tuhesabu maumivu
 
That was a mistake... nakiri kuwa AW anajua soka than I do.... Ila Chamber hakuwa wa kutoka... ASHA sio mzuuri kiivo
 
Game over chamakha mzee wa vichwa kashindwa hiyo . we are out same as shikamoo jazz.
 
Hii game ni UZEMBE... tumecheza VEMA kuliko wao.... Kisasi kwenye EPL??? may be....
 
Tusubiri mchwa sasa muda si mrefu wataanza kutoka katika vichuguu
 
Back
Top Bottom