Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwani mkuu penalty sio goal?
Screenshot_2025-07-08-12-45-54-672_com.twitter.android.jpg
 
Ifikapo saa 4 usiku nawakaribisha kuangalia mechi ya mwanaume wa London, mkishuhudia tukiingia fainali na jiji lote la London kuweka historia mana akina mama mnashindwa kufika wanaume tulipo 😎
 
Msimu wa 23/24

Wa kwanza kwa chances ni Bruno, wa pili Paskal wa tatu Martin Odegaard.

Huu msimu Cole alikua wa ngapi?

Msimu wa 24/25

Wa kwanza ni Bruno

Wewe hizo takwimu feki za Cole kuongoza umetoa wapi?
Bruno ana goli ngapi?. odegard ana goli ngapi?. mbona umebase upande wa kutengeza nafasi tu?.
 
Msimu wa 23/24

Wa kwanza kwa chances ni Bruno, wa pili Paskal wa tatu Martin Odegaard.

Huu msimu Cole alikua wa ngapi?

Msimu wa 24/25

Wa kwanza ni Bruno

Wewe hizo takwimu feki za Cole kuongoza umetoa wapi?
Mkuu wewe hizo takwimu umetoa wapi?😂 Kwa no. 10 Msimu wa 23/24 acc to sofascore aliongoza Bruno na kdb....wakafuata palmer na odegaard....Msimu wa 24/25 aliongoza palmer akafuatiwa na Bruno.....
 
Mkuu wewe hizo takwimu umetoa wapi?😂 Kwa no. 10 Msimu wa 23/24 acc to sofascore aliongoza Bruno na kdb....wakafuata palmer na odegaard....Msimu wa 24/25 aliongoza palmer akafuatiwa na Bruno.....
Haupo serious.

Comsult upya sources zako
 
na wale wanaosema kwamba mwaka huu arsenal mwaka huu asipotwaa kombe kibarua cha arteta kitakuwa mashakani sio kweli,kwanza wamiliki wa arsenal wanajua arteta msimu uliioisha ndio kaingiza pesa nyingi kuliko timu yoyote ya EPL kwahyo kazi yake ipo secured
Kwangu ntaona usjali bora zaidi kama kweli tukimchukua rodry au EZE sisi timu yetu kimuundo haina tofauti na city au PSG,number tisa sio mchezaji muhimu,mfano mechi yetu na PSG martnel angekuwa mzuri kwa umaliziaji tusingetolewa nao,hatuaji tu magoli tunahitaji mfumo uliokamilika mbape kaongoza kwa magoli hispania lakin madrid hawakuwa na kombe
Jukwaa linahitaji mashabiki aina yako, optimistic, obsever, smart thinking lkn unfortunately tuna watu wa "mara huyu mbaya tumepigwa, mara hatuwezi kushinda chochote, sijui ooh Arteta ndio anaua timu" yani ukiingia humu unasoma comment dakika moja unatoka, vinginevyo unajikuta unatukana mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom